Breaking News : Makundi yote kombe la Kagame Haya Hapa…


Hatimaye zoezi la kupanda makundi ya michuano ya kagame limemalizika ambapo El Merreikh ya Sudan, mabingwa watetezi wa mashindano hayo yanayodhaminiwa na Rais wa Rwanda na Mlezi wa Cecafa, Paul Kagame, wamelitoa taji lao na hawatashiriki na kuweka nguvu katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambako wametinga hatua ya makundi. Bingwa wa michuano hiyo atapata zawadi za Dola za Marekani 30,000 (Sh. milioni 60), mshindi wa pili Dola za Marekani 20,000 (Sh. milioni 40) na washindi wa tatu Dola za Marekani 10,000 (Sh. milioni 20) ambapo michuano hii itaanza kutimua vumbi  Julai 11 jijini Dar es Salaam.

El-Merreikh-washindi-wa-cecafa-2014

Yafuatayo ndio makundi yaliyopagwa muda si mrefu…

Group A :Gor Mahia ( Kenya) , khartoum ( Sudan)  ,  KMKM ( Zanzibar) ,  Telecom ( Djibout)

Group B : APR( Rwanda) , Al Shandy ( Sudan), LLB ( Burundi), Elman ( Somalia).

Group C: Azam ( Tanzania), Malakia ( South Sudan), KCC ( Uganda), Adama City ( Ethiopia).

Bongosoka imeungana na kampuni maarufu ya kubet ya 1XBet , Jiunge Hapa. Tufuate instagram , facebook na twitter. Pia kutangaza nasi tutumie email , bongosoka@gmail.com