Haya wadau ,ratiba nzima ya michuano ya Kagame Cup hii hapa…


Ratiba ya Michuano ya Kagame inayotegemewa  kuanza tarehe 18 july jijini Dar es salaam imetoka ambapo mabigwa watetezi wa mashindano hayo yanayodhaminiwa na Rais wa Rwanda na Mlezi wa Cecafa, Paul Kagame , El Merreikh ya Sudan,  hawatashiriki ili kuweka nguvu katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambako wametinga hatua ya makundi. Bingwa wa michuano hiyo atapata zawadi za Dola za Marekani 30,000 (Sh. milioni 60), mshindi wa pili Dola za Marekani 20,000 (Sh. milioni 40) na washindi wa tatu Dola za Marekani 10,000 (Sh. milioni 20) .

El-Merreikh-washindi-wa-cecafa-2014

Ifuatayo ni Ratiba kamili a michuano hiyo….

 

Siku ya 118-07-2015 14:00APR– : –AlShandy
18-07-2015 16:00Young Africans FC– : –Gor Mahia
18-07-2015 16:00KMKM– : –Telecom

Siku ya 219-07-2015 14:00Adama City– : –Malakia
19-07-2015 16:00Azam FC– : –KCC FC
19-07-2015 16:00LLB AFC– : –Heegan

Siku ya 320-07-2015 14:00Telecom– : –Khartoum
20-07-2015 16:00Gor Mahia– : –KMKM

Siku ya 421-07-2015 14:00AlShandy– : –LLB AFC
21-07-2015 16:00Heegan– : –APR
21-07-2015 16:00Malakia– : –Azam FC

Siku ya 522-07-2015 14:00Khartoum– : –KMKM
22-07-2015 16:00KCC FC– : –Adama City
22-07-2015 16:00Telecom– : –Young Africans FC

Siku ya 623-07-2015 14:00Heegan– : –AlShandy
23-07-2015 16:00APR– : –LLB AFC

Siku ya 724-07-2015 14:00Khartoum– : –Gor Mahia
24-07-2015 16:00KMKM– : –Young Africans FC

Siku ya 825-07-2015 14:00KCC FC– : –Malakia
25-07-2015 16:00Adama City– : –Azam FC

Siku ya 926-07-2015 14:00Gor Mahia– : –Telecom
26-07-2015 16:00Young Africans FC– : –Khartoum

Bongosoka imeungana na kampuni maarufu ya kubet ya 1XBet , Jiunge Hapa. Tufuate instagram , facebook na twitter. Pia kutangaza nasi tutumie email , bongosoka@gmail.com