Hii ndio gari mpya ya Amissi Tambwe , ni shida!!!


Baada ya kuitumikia klabu ya Simba kwa miaka miwili na kuelekea kwa watani wao wa jadi Yanga , maisha ya mshambuliaji wa Yanga , Amissi Tambwe ambae juzi juzi alitupia “Hat Trick” kwenye mechi ya ligi kuu dhidi ya Stand United yanazidi kupendeza .

Ammisi Tambwe Serge Wawa Chenga bongosoka

Amissi Tambwe amenunua gari jipya aina ya Toyota Land Cruiser  ambapo amesema limemgharimu dola za Kimarekani 23,500 (zaidi ya Sh. Milioni 47 za Tanzania) .

Amissi-Tambwe-Gari Amissi-Tambwe-Gari-3

Bongosoka imeungana na kampuni maarufu ya kubet ya 1XBet , Jiunge Hapa. Tufuate instagram , facebook na twitter. Pia kutangaza nasi tutumie email , bongosoka@gmail.com