Hili ndio gari la Ibrahim Ajib wa Simba


Star wa Simba SC na timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Ibrahim Aib alionekana  maeneo ya uwanja wa Karume akiwa na mkoko wake  . Ajib alikuwepo kwenye uwanja wa Karume kushuhudia pambano la Azam Sports Federation Cup kati ya Africa Lyon dhidi ya Azam FC mchezo uliomalizika kwa Azam kupata ushindi wa magoli 4-0.

Ibrahim-HAJIBB--Simba-Bongosoka

Baada ya mchezo huo kumalizika Ajib aliekea alikoegesha ndinga yake na kuchomoka akiwa na baadhi ya watu wake wa karibu ambao aliambatana nao kushuhudia game hiyo.

Ibrahim-Ajib-Gari-bongosoka

Bongosoka imeungana na kampuni maarufu ya kubet ya 1XBet , Jiunge Hapa. Tufuate instagram , facebook na twitter. Pia kutangaza nasi tutumie email , bongosoka@gmail.com