Kikosi cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya JKT Ruvu , Ajib Nje…


Klabu ya wekundu wa  Msimbazi Simba wanashuka dimbani muda si mrefu  kusaka pointi tatu dhidi ya JKT Ruvu  kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam ukiwa ni mchezo wake wa pili baada ya ule wa kwanza wa kufungua pazia kushinda mabao 3-1 dhidi ya Ndanda FC.

Simba-VS-AFC-Leopards-2

Kocha wa Simba , Joseph Omog tayari ametoa majina ya wachezaji watakaoanza kwenye mchezo wa leo huku akimuanzisha Blagnon Frederick ambaye aliingia kipindi cha pili kwenye mechi dhidi ya Ndanda FC .

Kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya Ndanda FC leo.

1. Vicent Angban
2. Malika Ndeule
3. Mohamed Hussein
4. Method Mwanjali
5. Novaty Lufunga
6. Jonas Mkude
7. Jamal Mnyate
8. Mzamir Yasin
9. Shiza Kichuya
10. Blagnon Frederick
11-Laudit Mavugo

Bongosoka imeungana na kampuni maarufu ya kubet ya 1XBet , Bonyeza hapa kupata offer kabampe. Tufuate instagram , facebook na twitter. Pia kutangaza nasi tutumie email , bongosoka@gmail.com