Kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Mtibwa Sugar , Ngoma atuowa nje…


kocha wa Yanga, Hans Pluijm  ametangaza kikosi chake kitakachoanza leo dhidi ya Mtibwa sugar huku akimuweza benchi mshambuliaji wake wa kimataifa kutoka Zimbambwe , Donald Ngoma .

Pluijm ameamua kumuweka benchi ngoma baada ya  kusuasua kwenye  mechi mbili mfululizo za Ligi kuu Tanzania Bara huku akimpa nafasi nyingine , Obrey Chirwa baada ya kuchukua mikoba ya Ngoma leo .

amissi-tambwe-yanga

Kikosi kamili: Deo Munish, Juma Abdul, Haji Mwinyi, Kelvin Yondani, Andrew Vincent, Said Makapu, Thaban Kamusoko, Simon Msuva, Deus Kaseke, Obrey Chirwa, Amissi Tambwe.

Akiba: Benno Kakolanya, Pato Ngonyani, Juma Mahadhi, Mbuyu Twite, Dona;d Ngoma, Geoffrey Mwashiuya, Anthony Matheo.

Bongosoka imeungana na kampuni maarufu ya kubet ya 1XBet , Jiunge Hapa. Tufuate instagram , facebook na twitter. Pia kutangaza nasi tutumie email , bongosoka@gmail.com