kikosi kamili cha Yanga msimu wa 2018/2019


Wakati Msimu mpya wa ligi kuu Tanzania bara ukikaribia kuanza kutimua vumbi , kikosi cha Yanga kwa msimu mpya wa 2018/2019 tayari kipo imara kwaajili ya kupigania kuurudisha ubingwa Jangwani .

Yanga ilifanikisha kukamilisha usajili wa wachezaji wake akiwemo nahodha Kelvin Yondani pamoja na kipa Nkizi Kindoki Klaus kutoka Racing de Kinshasa na mshambuliaji Heritier Makambo wa FC Lupopo huku ikiachana na baadhi ya nyota wake wa msimu uliopita .

Wachezaji walioachwa na Yanga ni Godfrey Mwashiuya aliyekwenda Singida United,  Obrey Chirwa aliyetimkia Misri na Donald Ngoma aliyekwenda Azam FC.

Makipa:

Klaus kindoki, Benno Kakolanya, Kabwili Ramadhani na Youthe Rostand Walinzi: Abdallah Shaibu, Kelvin yondan, Juma Abdul, Haji Mwinyi, Gadiel Michael, Andrew vicent na Pato Ngonyani.

Viungo:

Papy kabamba, Thaban kamusoko, Jafary Mohammed, Mohammed Issa Banka, Raphael Daud, Pius Buswita, Maka Edward, Feisal Salum ‘Fei Toto’, Deus kaseke, Emmanuel Martin, Juma Mahadhi, S aid Mussa na Said Makapu

Washambuliaji:

Matheo Anthony, Mrisho Khalfan Ngassa, Amis Tambwe, Ibrahim Ajibu, Heriter Makambo, Yusuph Muhilu na Paul Godfrey.

Bongosoka imeungana na kampuni maarufu ya kubet ya 1XBet , Jiunge Hapa. Tufuate instagram , facebook na twitter. Pia kutangaza nasi tutumie email , bongosoka@gmail.com