Orodha ya timu Tajiri Duniani mwaka 2019


Jarida la Forbes limetoa orodha mpya ya timu 50 zinazoongoza kwa utajiri duniani huku Kwa upande wa soka Real Madril ikiongoza kwa kushika nafasi ya 3 ikiwa na jumla ya dola za kimarekani bilioni 4.24 ikifuatiwa na Barcelona nafasi ya nne yenye utajiri wa dola bilioni 4.02 .

Real Madrid imefikia mafanikio hayo haswa baada ya kunyakua kombe la Mabingwa barani ulaya mara tatu mfululizo hadi mwaka 2018 .

Pia Real Madrid wanategemewa kutia mkataba wa kuwatengenezea vifaa vya michezo na kampuni maarufu ya Addidas , mkataba ambao utaweka historia kwa kuwa ghali zaidi katika historia ya soka ukitegemewa kughalimu dola za kimarekani bilioni 1.8 .

Timu pekee ya uingereza inayokamilisha timu tatu za soka zilizopo kumi bora ni Manchester United ambayo inashika nafasi ya 6 huku ikishuka nafasi nne kutoka nafasi ya 2 .

Thamani ya Manchester United kwasasa ni bilioni za kimarekani 3.81 . Manchester united imezikosa pesa kutoka kwenye michuano ya kombe la mabingwa barani ulaya , baada ya kumaliza msimu wa 2018-2019 vibaya na kushidwa kuwepo kwenye nne bora.

Ligi ya mabingwa ulaya ni chanzo kizuri cha mapato kwa vilabu kwa mfano kwenye fainali ya mwaka huu ya ligi ya mabigwa ulaya vilabu vya Liverpool na Totenham viliingiza makadirio ya dola milioni 104 hadi 117 .

Katika orodha hii ya Forbes ya vilabu 50 ghali duniani , TImu nyingine za soka zilizoweza kuingia kwenye list hii ni pamoja na Bayern Munich (17), Manchester City (25), Chelsea (32), Arsenal (42) and Liverpool (45). 

Orodha nzima ni kama ifuatavyo : –

1. Dallas Cowboys ($5bn/£4bn)

2. New York Yankees ($4.6bn/£3.7bn)

3. Real Madrid ($4.24bn/£3.4bn)

4. Barcelona ($4.02bn/£3.23bn)

5. New York Knicks ($4bn/£3.22bn)

6. Manchester United ($3.81bn/ £3.07bn)

7. New England Patriots ($3.8bn/ £3.06bn)

8. Los Angeles Lakers ($3.7bn/ £2.98bn)

9. Golden State Warriors ($3.5bn/ £2.82bn)

10. Los Angeles Dodgers/New York Giants ($3.3bn/£2.66bn)

12. Boston Red Sox/Los Angeles Rams ($3.2bn/£2.56bn)

14. Washington Redskins/Chicago Cubs ($3.1bn/£2.5bn)

16. San Francisco 49ers ($3.05bn/£2.45bn)

17. Bayern Munich ($3.02bn/£2.4bn)

18. San Francisco Giants ($3bn/£2.4bn)

19. Chicago Bulls/Chicago Bears ($2.9bn/£2.33bn)

21. New York Jets ($2.85bn/£2.3bn)

22. Houston Texans/Boston Celtics ($2.8bn/£2.25bn)

24. Philadelphia Eagles ($2.75bn/£2.12bn)

25. Manchester City ($2.69bn/£2.16bn)

26. Denver Broncos ($2.65bn/£2.13bn)

27. Green Bay Packers ($2.63bn/£2.12bn)

28. Atlanta Falcons ($2.6bn/£2.1bn)

29. Baltimore Ravens ($2.59bn/£2.08bn)

30. Pittsburgh Steelers ($2.59bn/£2.08bn)

31. Seattle Seahawks ($2.58bn/£2.08bn)

32. Chelsea ($2.58bn/£2.08bn)

33. Miami Dolphins ($2.58bn/£2.08bn)

34. Oakland Raiders ($2.42bn/£1.95bn)

35. Minnesota Vikings ($2.4bn/£1.93bn)

36. Indianapolis Colts ($2.38bn/£1.92bn)

37. Brooklyn Nets ($2.35bn/£1.9bn)

38. Houston Rockets/Carolina Panthers/New York Mets ($2.3bn/£1.85bn)

41. Los Angeles Chargers ($2.28bn/ £1.83bn)

42. Arsenal ($2.27bn/£1.83bn)

43. Dallas Mavericks ($2.25bn/£1.81bn)

44. Los Angeles Clippers ($2.2bn/£1.77bn)

45. Liverpool ($2.18bn/£1.75bn)

46. Arizona Cardinals ($2.15bn/£1.73bn)

47. St Louis Cardinals/Kansas City Chiefs ($2.1bn/£1.69bn)

49. Jacksonville Jaguars ($2.08bn/£1.67bn)

50. New Orleans Saints ($2.08bn/ £1.67bn)

Bongosoka imeungana na kampuni maarufu ya kubet ya 1XBet , Jiunge Hapa. Tufuate instagram , facebook na twitter. Pia kutangaza nasi tutumie email , bongosoka@gmail.com