Ratiba nzima ya afcon 2019


Ifuatayo ni ratiba ya michuano ya kombe la mataifa ya Africa kwa mwaka huu 2019 .

Kwa upande wa timu ya taifa ya Tanzania , Taifa Stars itatupa karata yake ya kwanza leo dhidi ya Simba wa Teranga, Senegal ukiwa mchezo wa kundi C, ambalo pia lina timu za Algeria na Kenya.

Baada ya kuivaa Senegal, Stars itashuka dimbani tena Juni 27 kuivaa Kenya (Harambee Stars), katika  mchezo wa pili utakaochezwa Uwanja wa Juni 30, kabla ya kumaliza hatua ya makundi kwa kuvaana na Algeria (Mbweha wa Jagwani) Julai 3.

Stars itacheza fainali hizo kwa mara ya pili, ilishiriki kwa mara ya kwanza mwaka 1980, zilipofanyika nchini Nigeria.

Raundi ya Kwanza
TareheMataifaMataifa
21.06. 23:00EgyptZimbabwe
22.06. 17:30D.R. CongoUganda
22.06. 20:00NigeriaBurundi
22.06. 23:00GuineaMadagascar
23.06. 17:30MoroccoNamibia
23.06. 20:00SenegalTanzania
23.06. 23:00AlgeriaKenya
24.06. 17:30Ivory CoastSouth Africa
24.06. 20:00TunisiaAngola
24.06. 23:00MaliMauritania
25.06. 20:00CameroonGuinea Bissau
25.06. 23:00GhanaBenin
Raundi ya pili
26.06. 17:30NigeriaGuinea
26.06. 20:00UgandaZimbabwe
26.06. 23:00EgyptD.R. Congo
27.06. 17:30MadagascarBurundi
27.06. 20:00SenegalAlgeria
27.06. 23:00KenyaTanzania
28.06. 17:30TunisiaMali
28.06. 20:00MoroccoIvory Coast
28.06. 23:00South AfricaNamibia
29.06. 17:30MauritaniaAngola
29.06. 20:00CameroonGhana
29.06. 23:00BeninGuinea Bissau
Raundi ya tatu
30.06. 19:00BurundiGuinea
30.06. 19:00MadagascarNigeria
30.06. 22:00UgandaEgypt
30.06. 22:00ZimbabweD.R. Congo
01.07. 19:00NamibiaIvory Coast
01.07. 19:00South AfricaMorocco
01.07. 22:00KenyaSenegal
01.07. 22:00TanzaniaAlgeria
02.07. 19:00BeninCameroon
02.07. 19:00Guinea BissauGhana
02.07. 22:00AngolaMali
02.07. 22:00MauritaniaTunisia

Bongosoka imeungana na kampuni maarufu ya kubet ya 1XBet , Jiunge Hapa. Tufuate instagram , facebook na twitter. Pia kutangaza nasi tutumie email , bongosoka@gmail.com