Samatta kukutana na timu hizi hatua ya makundi Europa Cup


UEFA imetoa orodha ya makundi 12 yatakayomenyana katika michuano ya Europa Cup  .

.Klabu ya  KRC Genk  ya Ubelgiji anayochezea Mbwana Samatta imepangwa Kundi F pamoja na Klabu ya Athletic Club Bilbao ya Ligi Kuu Hipania , Rapid Wien ( Austria ) na Sassuolo ( Italia ).

Mbwana-Samatta-Genk-Bongosoka

Ukiachana na Genk , kwa wale wapenzi wa machester United , timu hiyo imepangwa kundi A pamoja na Fenerbahce, Feyenoord, Zorya Luhansk .

Makundi yote haya hapa..

Group A: Manchester United, Fenerbahce, Feyenoord, Zorya Luhansk

Group B: Olympiacos, Apoel Nicosia, Young Boys, Astana

Group C: Anderlecht, St Etienne, Mainz, Qabala

Group D: Zenit, AZ Alkmaar, Maccabi Tel Aviv, Dundalk

Group D: Zenit, AZ Alkmaar, Maccabi Tel Aviv, Dundalk

Group E: Viktoria Plzen, Roma, Austria Vienna, Astra

Group F: Athletic Bilbao, Genk, Rapid Vienna, Sassulo

Group G: Ajax, Standard Liege, Celta Vigo, Panathinaikos

Group H: Shakhtar Donetsk, Braga, Gent, Konyaspor

Group I: Schalke, Salzburg, Krasnodar, Nice

Group J: Fiorentina, PAOK, Slovan Liberec, Qarabag,

Group K: Internazionale, Sparta Prague, Southampton, Hapoel Beer-Sheva

Group L: Villarreal, Steaua Bucharest, Zurich, Osmanlispor

Bongosoka imeungana na kampuni maarufu ya kubet ya 1XBet , Jiunge Hapa. Tufuate instagram , facebook na twitter. Pia kutangaza nasi tutumie email , bongosoka@gmail.com