Simon Msuva atua Benfica ya Ureno


Nyota wa klabu ya Difaa El Jadid ya Morocco na timu ya taifa ya Tanzania , Taifa Stars Simon Msuva amesaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia Klabu ya Benfica ya nchini Ureno.

Msuva ataanza kwenda kwa mkopo wa miezi 6 Panathaikos ya Ugiriki akiungana nayo Januari 15 2020 na Benfica atajiunga rasmi Julai 2020.

Benfica ni miongoni mwa klabu zenye heshima kubwa na imewahi kufundishwa na Jose Mourinho(2000), msimu wa 2018/19 Benfica ilikuwa Bingwa wa Ureno

Bongosoka imeungana na kampuni maarufu ya kubet ya 1XBet , Jiunge Hapa. Tufuate instagram , facebook na twitter. Pia kutangaza nasi tutumie email , bongosoka@gmail.com