Habari za Laudit Mavugo


Mavugo aahidi kuwatungua Kagera Sugar kesho…

Mshambuliaji  wa Simba, Laudit Mavugo, amesema ana uhakika wa kufunga bao kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya

Soma Zaidi…

Laudit Mavugo na hatihati ya kutemwa na Simba mwisho wa msimu…

Baada ya kuwa mchezaji aliyesubiriwa kwa muda sana na mwishowe kusajiliwa mwanzo wa msimu na klabu ya Simba , mshambuliaji

Soma Zaidi…

Mavugo apingwa Benchi Simba tena , Kikosi kitakachoanza hiki hapa…

Baada ya Mshambuliaji wa kimataifa wa Simba , Laudit Mavugo kuanzia  Benchi kwenye mechi iliyopita dhidi ya Mbeya City ,

Soma Zaidi…

Laudit Mavugo ana deni kubwa Simba

Mshambuliaji  wa Simba , Laudit Mavugo, ana deni kubwa sana kwenye klabu yake na tayari wekundu wa Msimbazi wameanza  kumkumbusha kuwa hadi kufikia

Soma Zaidi…

Kavumbagu asema Mavugo ni wa kawaida sana , amuweka benchi timu ya taifa…

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga na Azam FC, Mrundi, Didier Kavumbagu ameamua kumueleza ukweli mshambuliaji wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo

Soma Zaidi…

Pacha wa mavugo awaumiza kichwa Simba….

Benchi  la ufundi la Simba limeonekana kukuna vichwa kutafuta straika ambaye atakuwa pacha wa mshambuliaji Mrundi, Laudit Mavugo, hasa baada

Soma Zaidi…