Habari za Mbao FC


Mbao FC yashushwa kileleni ligi kuu…

Baada ya Jana kuona watani wa Jadi Simba na Yanga wakitoshana nguvu kwenye mwendelezo wa lii kuu Tanzania bara ,

Soma Zaidi…

Yanga yatundikwa 2 – 0 na Mbao FC ….

Klabu ya Mbao FC ya jijini Mwanza imeweza kuendeleza rekodi yake ya kuitungua Yanga kwenye uwanja wa nyumbani baada ya

Soma Zaidi…

Yanga wanakibarua kigumu dhidi ya Mbao FC leo

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya vodacom Tanzania bara , leo watakua na kibarua kigumu pale watakapowavaa wenyeji Mbao FC

Soma Zaidi…

Hatimaye Simba wa kimataifa , wabeba kombe la shirikisho…

Hatimaye klabu ya wekundu wa msimbazi , Simba imefanikiwa kushiriki mashindano ya kimataifa baada ya kufanikiwa kuilaza timu ngumu ya

Soma Zaidi…

Simba VS Mbao FC hapatoshi leo fainali ya kombe la shirikisho…

Klabu za Simba SC na Mbao FC leo zitakua na mtiahani mzito pale zitakapomenyana kwenye fainali ya  kuwania ubingwa wa

Soma Zaidi…

Mbao FC yawafunga Yanga 1 – 0 na kutinga fainali kombe la shirikisho…

Mabingwa watetezi Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) Yanga ,  wametolewa katika michuano ya Kombe la Shirikisho baada ya kukubali

Soma Zaidi…