Habari za Mtibwa Sugar


Yaliyojiri ligi kuu Tanzania Bara leo..

Ligi kuu ya soka Tanzania Bara, imeendelea leo kwa mechi tano kufanyika katika viwanja mbalimbali nchini. Mechi hizi zinafanyika ili

Soma Zaidi…

Yanga yaifunga Mtibwa sugar 3 – 1 , Chirwa akifunga goli lake la kwanza…

Klabu ya Yanga imeweza kujikusanyia Pointi 3  muhimu leo katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Mtibwa Sugar na

Soma Zaidi…

Kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Mtibwa Sugar , Ngoma atuowa nje…

kocha wa Yanga, Hans Pluijm  ametangaza kikosi chake kitakachoanza leo dhidi ya Mtibwa sugar huku akimuweza benchi mshambuliaji wake wa

Soma Zaidi…

Simba yaichapa Mtibwa Sugar 2 – 0

Klabu ya wekundu wa msimbazi Simba , leo wameendeleza dozi baada ya kuifunga Mtibwa sugar mabao 2 – 0  katika

Soma Zaidi…

Haruna Chanongo amkuna mayanga

KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Salum Mayanga amefurahia ujio wa mchezaji Haruna Chanongo kwenye kikosi chake.  Mayanga alisema kuwa kiungo Chanongo

Soma Zaidi…

Mtibwa Sugar yampata mrithi wa Kichuya

Katika kuhakikisha wanaboresha kikosi chao baada ya winga wao machachari, Shizza Ramadhani ‘Kichuya’ kutimkia Simba, Mtibwa imenasa saini ya mshambuliaji wa

Soma Zaidi…