Habari za Mwadui FC


Simba kuwawinda Mwadui leo Shinyanga…

Klabu ya wekundu wa Msimbazi , Simba  leo itakuwa kwenye Uwanja wa CCM Kambarage, Shinyanga kukabiliana na timu ya Mwadui

Soma Zaidi…

Yanga Yaichapa Mwadui FC 2 – 0

Yanga SC imeonyesha kuwa ina dhamira ya dhati ya kuutetea ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara  baada ya  leo jioni

Soma Zaidi…

Toto Africans Yaichapa Mwadui 1 – 0 ligi kuu tanzania bara

Klabu ya mwadui ya Shinyanga imeendeleza mkosi wao wa kufungwa katika uwanja wa CCM Kirumbaa baada ya Toto African ya

Soma Zaidi…

Nizar Khalfan , Athumani Iddi na Tegete watemwa Mwadui FC

Kocha mkuu wa Mwadui FC , Jamhuri Kihwelu ‘Julio’  ameonyesha kua hana masihara na mbio za ubingwa kwa msimu mpya

Soma Zaidi…

Yanga Bingwa taji la ligi kuu Tanzania Bara, Simba ikipigwa 1 – 0 na Mwadui…

Hatimaye klabu ya Yanga SC ndiye  bingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2015/2016 baada ya klabu ya

Soma Zaidi…

Azam FC watinga fainali kombe la FA , waifunga mwadui kwa mikwaju ya penati…

Mabingwa wa Afrika mashariki na kati Azam FC wamefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya kombe la shirikisho la soka nchini

Soma Zaidi…