Habari za Taifa Stars


Corona yasimamisha Ligi kuu Tanzania, Kambi STARS yavunjwa..

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesimamisha shughuli zote za soka nchini kwa kipindi cha mwezi mmoja, kuanzia leo tarehe

Soma Zaidi…

Mbabe wa Simba na Morrison aliyeibukia Taifa Stars..

Moja kati ya siku ambazo wanasimba waliumia sana, inaweza kuwa ni siku ya tarehe 26 Desemba, 2018, ambapo walifungwa na

Soma Zaidi…

Kapombe, Makapu, Abdi Banda, warejea TAIFA STARS..

Baada ya kiwango bora wakiwa na timu zao za vilabu, mabeki Said Juma Makapu anayechezea Yanga, Shomari Kapombe wa Simba

Soma Zaidi…

Taifa Stars VS Sudan , Unayopaswa kujua kuelekea CHAN 2020

Timu ya taifa ya Tanzania , Taifa Stars itashuka dimbani leo majira ya saa 1 usiku kuchuana na Sudan katika

Soma Zaidi…

Wachezaji Taifa Stars kutajirika wakishinda leo…

Iwapo timu ya taifa ya Tanzania “Taifa Stars” itaibuka na ushindi dhidi ya Uganda “The Cranes” katika mchezo wa mwisho

Soma Zaidi…

Taifa Stars yaitungua Cape Verde 2 – 0 taifa….

Timu ya taifa ya Tanzania , Taifa Stars jioni ya leo imeweza kuibuka na ushindi wa goli 2 – 0

Soma Zaidi…