Uwanja mpya wa Simba Bunju Usipime !!!


Rais wa Simba , Evans Aveva leo alitambulisha ramani ya Uwanja Mpya wa Simba uliopo Bunju ambao tayari  Ujenzi wa mradi huo ukiwa umeshaanza .

Katika ramani hiyo , kumeonekana kutakua na viwanja viwili , huku kimoja kikiwa cha mazoezi na uwanja mwingine mkubwa . Pia Hostel za wachezaji zinategemewa kujengwa huku kukiwa na swimming pool .

Ramani-ya-Uwanja-Mpya-wa-Simba-Bunju-Bongosoka

Hadi sasa , Ujenzi wa uwanja wa Simba unaenda kwa spidi ya kasi sana huku ukitegemewa kutumiwa na Simba kwa mazoezi yao ndani ya msimu huu wa ligi kuu .

Bongosoka imeungana na kampuni maarufu ya kubet ya 1XBet , Jiunge Hapa. Tufuate instagram , facebook na twitter. Pia kutangaza nasi tutumie email , bongosoka@gmail.com