Wachezaji Taifa Stars kutajirika wakishinda leo…


Iwapo timu ya taifa ya Tanzania “Taifa Stars” itaibuka na ushindi dhidi ya Uganda “The Cranes” katika mchezo wa mwisho wa kundi L kuwania kufuzu mashindao ya mataifa ya Afrika nchini Misri basi kila mchezaji atalamba donge nono .

Mwenyekiti wa kamati ya Saidia Taifa Stars Ishinde , Paul Makonda amethibitisha kuwa kila mchezaji wa taifa stars ataondoka na kitita cha shilingi milioni 10 za kitanzania kama wakiweza kuwafunga Uganda leo na hatimaye kufuzu kucheza katika fainali za mashindano hayo .

Naye Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samata alisema haya kuhusiana na mchezo wa leo , “Nina furaha si kwa sababu ya ukubwa wa mechi ya kesho bali ni kwa sababu naona kesho nakwenda kuongoza nchi. Tupo tayari kuliletea Taifa ushindi”.

Ukiachana na

Bongosoka imeungana na kampuni maarufu ya kubet ya 1XBet , Jiunge Hapa. Tufuate instagram , facebook na twitter. Pia kutangaza nasi tutumie email , bongosoka@gmail.com