Watakaoanza Taifa Stars VS Senegal Afcon 2019


Taifa Stars inaingia uwanjani kumenyana na Senegal , katika mchezo huu wa kwanza wa kundi C ; –

Katika mchezo unaotegemewa kuanza muda si mfupi , nyota wa Senegal na Liverpool FC ya Uingereza , Sadio Mane Hatacheza kutokana na kuwa na kadi mbili za njano alizopata kwenye michezo ya kuwania kucheza fainali hizi .

Kikosi Kitakachoanza / Line-up (Taifa Stars)

 • 18 A. Manula
 • 2 G. Michael
 • 5 K. Yondani
 • 6 D. Mwantika
 • 22 H. Ramadhani
 • 23 M. Yahya
 • 3 F. Salum
 • 14 J. Bocco
 • 12 S. Msuva
 • 7 H. Mao
 • 10 M. Samatta

Mpira Umeanza

Bongosoka imeungana na kampuni maarufu ya kubet ya 1XBet , Jiunge Hapa. Tufuate instagram , facebook na twitter. Pia kutangaza nasi tutumie email , bongosoka@gmail.com