Yanga yaitungua Mbeya City 3-2


MABINGWA wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Yanga , leo wameichapa Mbeya City  mabao 3-2 katika mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu uliopigwa katika dimba la Sokoine mjini Mbeya. Wenyeji, Mbeya City ndiyo waliokuwa wa kwanza kupata goli  dakika ya nane kupitia kwa Bakari Mwinjuma baada ya kutokea piga nikupige langoni mwa Yanga.

Yanga-VS-Telecom-Malimi-Busungu-Simn-Msuva

Bongosoka imeungana na kampuni maarufu ya kubet ya 1XBet , Jiunge Hapa. Tufuate instagram , facebook na twitter. Pia kutangaza nasi tutumie email , bongosoka@gmail.com